Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kimerejea jijini Dar es salaam baada ya safari ndefu ya kutoka mkoani Iringa
Baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Lipuli Fc jana, Simba ilirejea mkoani Morogoro ambako iliweka kambi ya mda mfupi

Leo mchana iliondoka kurudi jijini Dar es salaam ambako itakamilisha maandalizi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Kagera Sugar
Mchezo huo utapigwa keshokutwa Jumanne kwenye uwanja wa Taifa
ADVERTISE HERE