Ushindi ni zawadi kwa Wanasimba wote - Senzo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Feb 2020
Ushindi ni zawadi kwa Wanasimba wote - Senzo

Mtendaji mkuu wa klabu ya Simba, Senzo Mazingiza amesema ushindi waliopata katika mechi mbili za ugenini dhidi ya Mtibwa Sugar na Lipuli ni kutokana na mshikamano wa Wanasimba wote.

Senzo amesema kila mtu ametimiza majukumu yake kuanzia Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, benchi la ufundi, wachezaji pamoja na wapenzi na mashabiki ambao wamejitokeza kwa wingi katika mechi hizo.

"Baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Maafande wa JKT Tanzania jijini Dar es Salaam mashsbiki walianza kupoteza matumaini ya kutetea ubingwa huo ila kwenye hizi mechi mbili kila kitu kinaonekana kimekaa sawa," amesema

Senzo ameongeza kuwa ligi siku zote ni kama Marathon kwahiyo wanajipanga kuhakikisha wanafanya vizuri katika kila mchezo ili kutetea taji la ligi msimu huu.

"Ushindi huu ni kwa Wanasimba wote tulishirikiana kuanzia Bodi ya Wakurugenzi hadi mashabiki, wachezaji na benchi la ufundi walitimiza majukumu yao vizuri. Ushirikiano huu usiishie hapa"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’