Simba yaweka kambi ya muda mfupi Morogoro

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Feb 2020
Simba yaweka kambi ya muda mfupi Morogoro

Baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Lipuli Fc mkoani Iringa jana, Simba ilirejea mkoani Morogoro ambapo imeweka kambi ya muda mfupi kabla ya kurejea jijini Dar es salaam kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Kagera Sugar ambao utapigwa Jumatano, Februari 19

Leo asubuhi Simba ilijifua kwenye uwanja wa Jamhuri yakiwa ni mazoezi maalum kurejesha miili katika hali ya kawaida baada ya mchezo wa jana

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
29m ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
19h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’