Baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Lipuli Fc jana, kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Simba kiliondoka usiku kurejea jijini Dar es salaam tayari kwa mchezo wa ligi unaofuata dhidi ya Kagera Sugar
Mchezo huo utapigwa siku ya Jumatano kwenye uwanja wa Taifa/Uhuru



ADVERTISE HERE