Sven atamba, wako tayari kuiadhibu Lipuli Fc

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 Feb 2020
Sven atamba, wako tayari kuiadhibu Lipuli Fc

Mkufunzi wa Simba Sven Vandenbroeck amesema kikosi cha timu hiyo kiko tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Lipuli Fc ambao utapigwa kesho Jumamosi kwenye uwanja wa Samora

Akizungumza baada ya mazoezi ya mwisho yaliyofanyika uwanja wa Samora, Vandenbroeck amesema vijana wake wako tayari kwa mchezo huo baada ya kufanya maandalizi ya kutosha

Amesema wachezaji wote 25 waliosafiri na timu wako tayari kwa mchezo huo

"Lazima tucheze kila mchezo katika kila hali ambayo tunakutana nayo hivyo tumejindaa na hilo kuhakikisha tunafanya vizuri," amesema

"Kila mchezaji yupo tayari kwa mchezo wa kesho isipokuwa kwa majeruhi wa muda mrefu Mzamiru na Miraji ambao walibaki Dar es Salaam. Tulisafiri na wachezaji 25 na wote wapo tayari."

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’