Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa Mkufunzi wa makipa wa Simba Muharami Mohammed
Muharami ndiye aliyepewa jukumu la kulinda viwango vya makipa watatu wa Simba, Aishi Manula, Beno Kakolanya na Ali Salim
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii mihimu kwake
ADVERTISE HERE