Simba kuifuata Lipuli Fc leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
13 Feb 2020
Simba kuifuata Lipuli Fc leo

Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kinaondoka asubuhi ya leo Alhamisi, Feb 13 mkoani Morogoro kuelekea Iringa kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Lipuli Fc

Mchezo huo utapigwa keshokutwa Jumatano katika uwanja wa Samora

Baada ya mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar, Simba iliweka kambi ya muda mfupi mkoani Morogoro kujiandaa na mchezo huo

Mabingwa hao wa nchi wako kileleni mwa msimamo wa ligi wakiwa wamejikusanyia alama 53

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
8m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’