Wakati mabingwa watetezi Simba wakiwa mkoani Morogoro kuwakabili Mtibwa Sugar katika mchezo ambao utapigwa uwanja wa Jamhuri, mechi nyingine nane zitapigwa kwenye viwanja mbalimbali
Ni michezo ya mzunguuko wa 21 ligi kuu ya Vodacom

ADVERTISE HERE