Kibadeni atajwa Sven 'akichemsha'

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
10 Feb 2020
Kibadeni atajwa Sven 'akichemsha'

Licha ya kuwepo kwa presha kubwa ya mashabiki ambao wanataka mabadiliko ya benchi ya ufundi hasa kuondoshwa kwa kocha Sven Vandenbroeck, uongozi wa Simba hautafanya pupa kufanya mabadiliko, imefahamika

Ni kutokana na ukweli kwamba mabadiliko ya benchi la ufundi wakati huu ligi imeingia mzunguuko wa pili yanaweza kuivuruga zaidi timu kwani kocha yeyote mpya atahitaji muda kutengeneza kikosi chake

Muda huo hautakuwepo kwani timu itakuwa ikihitaji matokeo katika kila mchezo ili kutetea ubingwa na kupata nafasi ya kushiriki ligi ya mabingwa msimu ujao

Juzi Bodi ya Wakurugenzi ilikutana na kufanya mahojiano na benchi la ufundi ili kupata ufafanuzi kwa nini kiwango cha timu kimeshuka

Inaelezwa Sven na Matola wamepewa nafasi ya kurekebisha mambo na kama kutakuwa na ulazima wa kufanya mabadiliko ya benchi la ufundi basi atatafutwa kocha wa muda ambaye ataongoza timu mpaka mwishoni mwa msimu

Mkongwe Abdallah 'King' Kibadeni anaweza kupewa jukumu hilo ambapo atashirikiana na Matola au Jamhuri Kiwhelo 'Julio'

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’