Kikosi cha mabinga wa soka Tanzania Bara Simba kimewasili salama mkoani Morogoro tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mtibwa Sugar
Mchezo huo utapigwa uwanja wa Jamhuri keshokutwa Jumanne
Meneja wa Simba Patrick Rweyemamu amesema leo watafanya mazoezi mepesi na kesho watakamilisha maandalizi yao kwenye uwanja wa Jamhuri
ADVERTISE HERE