Klabu ya Simba kwa sasa inaongoza kwa kuwa na mashabiki wengi katika ukanda wa Afrika Mashariki na kati kwa mujibu wa takwimu zilizokusanywa kwenye mitandao yote ya kijamii
Katika mitandao ya kijamii Simba ina zaidi ya wafuasi Milioni 1.7 ambao ni karibu mara mbili ya Azam Fc inayofuata ikiwa na wafuasi laki tisa
Watani zao Yanga wanashika nafasi ya tatu wakiwa na wafuasi laki nane tu
Aidha Simba inashika nafasi ya tano barani Afrika miongoni mwa timu zenye ufuasi mkubwa zaidi kwenye mitandao ya kijamii

ADVERTISE HERE