Ni ushindi tu Morogoro ndio utamnusuru Vandenbroeck

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Feb 2020
Ni ushindi tu Morogoro ndio utamnusuru Vandenbroeck

Kikosi cha Simba kimeelekea mkoani Morogoro kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mtibwa Sugar

Mchezo huo utapigwa siku ya Jumanne, Februari 11 kwenye uwanja wa Jamhuri

Baada ya kupoteza mchezo uliopita kwa kufungwa bao 1-0 na JKT Tanzania, mkufunzi wa Simba Sven Vandenbroeck anahitaji kuhakikisha vinara hao wa ligi kuu wanarejesha utamaduni wao wa burudani na ushindi

Ni mchezo ambao kama matokeo yatakuwa tofauti, Mbelgiji huyo anaweza kukutana na mabegi yake mlangoni atakaporejea jijini Dar es salaam

Sven aliitwa kujieleza kwa nini siku za karibuni timu imekuwa ikicheza chini ya kiwango katika kikao ambacho kiliwahusisha mabosi wa Simba wakiongozwa na Mtendaji Mkuu Senzo Mazingisa na Mwenyekiti Mwina Kaduguda

Kikao hicho kilikuwa kama mtego kwake kwani kama timu haitaonyesha mabadiliko anaweza kutimuliwa

Aidha Senzo alipoulizwa kuhusu hatma ya kocha huyo, alisema Sven anaendelea kuinoa Simba lakini hatma yake itabaki mikononi mwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Mohammed Dewji 'Mo'

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’