Kikosi cha Simba kinatarajiwa kurejea jijini Dar es salaam kikitokea mkoani Dodoma ambako jana kilicheza mchezo wa kirafiki na kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Dodoma FC.
Simba ilikuwa kanda ya ziwa ambako ilizoa alama nne kati ya sita kwa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Stand United na sare ya mabao 2-2 dhidi ya Mbao FC.
Simba itashuka kwenye dimba la Uhuru, Jumapili Oktoba 15 kukabiliana na Mtibwa Sugar kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa sita

ADVERTISE HERE