Sven atetea wachezaji, asema walikosa bahati

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Feb 2020
Sven atetea wachezaji, asema walikosa bahati

Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck amesema walipoteza mchezo wa jana dhidi ya JKT Tanzania kutokana na kukosa bahati kwani walitengeneza nafasi nyingi

Aidha Sven amesema wachezaji wote wa Simba ni wazuri na yeyote anaweza kumtumia na wakapata matokeo

Mbelgiji huyo ametoa kauli hiyo baada ya kutupiwa lawama kuwa haeleweki katika upangaji wa timu

"Kilicho tokea na sehemu ya mpira hakuna wa kumlaumu, ni kweli tulibadilishiwa uwanja kutoka Taifa hadi Uhuru na pia tuliwakosa baadhi ya wachezaji kutokana na kuwa majeruhi lakini huwezi kusema ndio iliyopelekea kupoteza mchezo," alisema Sven

"Timu yetu ina wachezaji wazuri ambao wanaweza kucheza mechi yoyote na wakaipa Simba ushindi"

Sven pia amelaumu ukaribu wa michezo jambo linalosababisha 'fatigue' kwa wachezaji

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
4h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
10h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
13h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’