Uongozi wa Simba umesema utawapa onyo wachezaji wake Shiza Kichuya na Jonas Mkude kufuatia tukio la utovu wa nidhamu walio onyesha kwenye mchezo wa kombe la Mapinduzi dhidi ya URA.
Wachezaji hao waligoma kukaa kwenye benchi la Simba baada ya kufanyiwa mabadiliko katika mchezo huo ambao Simba ililazwa bao 1-0.
Uongozi wa Simba kupitia kwa Mwenyekiti wa Kamati ya usajili Zacharia Hans Poppe ulieleza kubaini kuwepo kwa tatizo la kinidhamu na kuahidi kulifanyia kazi.
Simba tayari imeanza mazoezi kwenye uwanja wa bandari kujiandaa na michezo ya ligi kuu ya Vodacom.

ADVERTISE HERE