Simba yawatema waliotolewa kwa mkopo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
6 Feb 2020
Simba yawatema waliotolewa kwa mkopo

Wachezaji wa Klabu ya Simba SC wanaocheza kwa mkopo katika klabu mbalimbali za Ligi Kuu Bara, imeelezwa kwamba wamevunjiwa mikataba yao baada ya pande mbili kufikia makubaliano

Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Simba SC, Senzo Mazingisa alikiri kumalizana na wachezaji hao ili kupunguza gharama za uendeshaji wa timu

Wachezaji hao walitolewa kwa mkopo baada ya kukosa nafasi kikosi cha kwanza msimu uliopita ni Paul Bukaba, akiwa kwa mkopo Namungo FC pamoja na Mohammed Ibrahim , Marcel Kaheza aliyepo Polisi Tanzania na Mohammed Rashid akiwa huko JKT Tanzania

Senzo aliongeza kuwa, walichoona kwa wachezaji wanaocheza kwa mkopo ni kuachana nao na kuwalipa gharama ndogo ambazo wamebakiza na kubana matumizi kuendesha timu kwa nyota wanaobaki

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
54m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
4h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
18h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
22h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
2d ago
READ MORE β†’