Serikali yaingilia kati kuboronga kwa waamuzi ligi kuu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
6 Feb 2020
Serikali yaingilia kati kuboronga kwa waamuzi ligi kuu

Kufuatia mfululizo wa maamuzi yenye utata kwenye mechi mbalimbali za ligi kuu ya Vodacom, Serikali kupitia Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe ameliagiza Baraza la Michezo la Taifa (BMT) kufuatilia kwa karibu malalamiko yote yanayotolewa na wadau wa soka mara kwa mara katika Ligi Kuu na ligi nyingine.

Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara hiyo iliyotolewa jana, Jumatano, Dk Mwakyembe ameliagiza Baraza hilo kutoa mrejesho wa agizo hilo ndani ya siku tatu.

"Wizara inaendelea kupokea tuhuma mbalimbali/uonevu katika mashindano ya Ligi mbalimbali za mpira wa miguu yanayoendelea nchini, lakini wdau hawaoni hatua zikichukuliwa mara moja na kupatiwa mrejesho," imesema sehemu ya taarifa hiyo

Tayari Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limechukua hatua kwa kuiagiza Kamati ya Waamuzi kukutana na Bodi ya Ligi ili kupata suluhu ya matukio hayo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’