Manara awapiga 'dongo' wanaolalamikia ushindi wa Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 Feb 2020
Manara awapiga 'dongo' wanaolalamikia ushindi wa Simba

Afisa Habari wa Simba, Haji Manara amewataka wale wanaolalamika Simba imefunga bao la kuotea, waende vituo vya polisi kwa ajili ya kutoa maelezo.

Kauli hiyo ya Manara imekuja baada ya Simba kufunga bao la kusawazisha alilofunga John Bocco ambaye alidhaniwa kuwa katika eneo la kuotea katika ushindi wao wa mabao 2-1 dhidi ya Polisi Tanzania.

Akizungumzia tukio hio Manara alisema wale wanaolalamika Simba imefunga bao la kuotea, wanatakiwa kwenda kwenye vituo vya polisi kwa ajili ya kutoa maelezo.

“Wanatakiwa kwenda vituo vya polisi bila ya wasisahau kubeba vitambulisho vya Nida.”

Bocco alifunga bao hilo katika dakika 57, akipokea pasi ya Clatous Chama

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’