Sven asifu upambanaji wa wachezaji Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 Feb 2020
Sven asifu upambanaji wa wachezaji Simba

Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck amewapongeza wachezaji wa timu hiyo kwa upambanaji walioonyesha kwenye kipindi cha pili na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Polisi Tanzania

Mbelgiji huyo amesema mabadiliko waliyofanya kwenye kipindi cha pili yaliwarejesha mchezoni na muhimu zaidi wachezaji walifahamu wanahitaji kupata matokeo

"Ukiangalia kipindi cha kwanza hatukucheza vizuri, hatukuwa bora kwenye safu ya kiungo Polisi Tanzania walituzidi. Lakini ni kawaida unapocheza kila baada ya siku mbili, kipindi cha pili timu inakuwa sawa.  Nawapongeza wachezaji wangu kwani ni mara ya nne hii tunalazimika kutokea nyuma kupata ushindi," alisema

Nae kocha wa Polisi Tanzania Malale Hamsini amesema timu yake ilicheza vizuri na walikuwa na kila sababu ya kupata ushindi lakini suala la kukosa uzoefu kwa baadhi ya wachezaji limewagharimu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
11h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
14h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
21h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’