Uongozi wa klabu ya Simba umethibitisha kupokea hati ya uhamisho wa Kimataifa (ITC) wa kiungo mshambuliaji Shiza Kichuya
Kichuya sasa anaweza kutumika na Simba kwenye michezo ya ligi, kombe la FA na mashindano mengine ambayo Simba inaweza kushiriki
"Hati ya Uhamisho wa Kimataifa (ITC) ya Shiza Kichuya imefika. Sasa tupo huru kumtumia kwenye mchezo wowote iwapo kocha mkuu atahataji kumtumia," imesema taarifa ya Simba
ADVERTISE HERE