Mzamiru ni majeruhi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Feb 2020
Mzamiru ni majeruhi

Kumekuwa na maswali juu ya kutokuonekana dimbani kwa kiungo Mzamiru Yassin ambaye hajaichezea Simba tangu Januari 04 baada ya mchezo dhidi ya Yanga

Meneja wa Simba Patrick Rweyemamu amesema Mzamiru ni majeruhi sambamba na Deo Kanda na kuwa nyota hao wanaendelea na matibabu

Aidha Rweyemamu amekanusha taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii zinazodai kuwa Mzamiru amesimamishwa na uongozi wa Simba

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’