Simba kuikabili Polisi Tanzania uwanja wa Taifa leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Feb 2020
Simba kuikabili Polisi Tanzania uwanja wa Taifa leo

Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba leo wataendelea na kampeni ya kutetea ubingwa wao kwa msimu wa tatu mfululizo watakapowakaribisha maafande wa Polisi Tanzania katika mchezo wa ligi kuu ambao utapigwa uwanja wa Taifa

Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa kuanzia saa moja jioni

Ni mchezo wa raundi ya 19 unayokamilisha duru ya kwanza ya ligi kuu ya Vodacom

Hii ni nafasi nyingine kwa mabingwa hao wa nchi kuendelea kujiimarisha kileleni mwa msimamo wa ligi, ushindi utawafanya wafikishe alama 50

Kwa Selemani Matola, kocha msaidizi wa Simba, utakuwa mchezo wa kwanza dhidi ya waajiri wake wa zamani

Matola aliiongoza Polisi Tanzania mwanzoni mwa msimu kabla ya kujiunga na Simba mwezi Novemba 2019

Afisa habari wa Simba Haji Manara amewataka mashabiki wajitokeze kwa wingi kuiunga mkono timu yao kuhakikisha wanaondoka na alama zote tatu

"Tukutane Taifa saa moja jioni leo Jumanne kuzisaka alama tatu muhimu dhidi ya PolisiTanzania. Mchezo upo kwenye uwanja Mkuu wa Taifa, Inshaallah tutazichukua"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
21m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
3h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
18h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
21h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
2d ago
READ MORE β†’