TAARIFA YA SIMBA KUHUSU KICHUYA NA MIQUISSONE
Shiza Kichuya
ITC ilitolewa na Shirikisho la Soka la Misri lakini baadae ikasitishwa. Kwasasa yanasubiriwa maamuzi ya Kamati ya Hadhi za Wachezaji ya FIFA kuhusu jambo hilo.
Luis Miquissone
ITC yake bado haijatolewa. Jambo hilo linafanyiwa kazi na FIFA. Majibu ya mwanzoni FIFA walihitaji maelezo zaidi na tuliwatumia Jumamosi iliyopita. Kwasasa yanasubiriwa maamuzi ya Kamati ya Hadhi za Wachezaji ya FIFA.
ADVERTISE HERE