Takwimu za Kagere VPL ni hatari

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
3 Feb 2020
Takwimu za Kagere VPL ni hatari

Pamoja na kuwa kinara wa mabao ligi kuu ya Vodacom, mshambuliaji hatari wa Simba Meddie Kagere pia ni miongoni mwa vinara wa kutoa pasi za mabao

Kagere anashika nafasi ya tatu miongoni mwa vinara wa kutoa pasi za mabao akiwa na asisti tano

Nico Wadada wa Azam Fc anaongoza akiwa ametoa pasi sita za mabao akiwa sambamba na Sharaff Shiboub wa Simba ambaye pia ana asisti sita

Francis Kahata, Clatous Chama, Shomari Kapombe na Mzamiru Yassin ni miongoni mwa vinara hao kila mmoja akiwa na asisti tatu

Hizi hapa takwimu za wafungaji na watengezaji bora wa mabao VPL;

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’