TFF yaanza ukarabati uwanja wa fainali kombe la FA

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
2 Feb 2020
TFF yaanza ukarabati uwanja wa fainali kombe la FA

Mapema leo viongozi waandamizi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) wakiongozwa na Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga, Jacob Mtalitinya akiwa pamoja na Mkurugenzi wa Mashindano wa TFF Salum Madadi,Mwenyekiti wa RUREFA Blass Kiondo walifanya ukaguzi wa Uwanja wa Nelson Mandela ambao utatumika kwa fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam ASFC Mei 30,2020

TFF imewaagiza wasimamizi wa uwanja huo (RUREFA) kuanza ukarabati ili kuhakikisha unakuwa tayari kutumika kwenye mchezo huo wa fainali May 30

TFF imepeleka mchezo huo mkoani Rukwa ili kuwapa fursa mashabiki kupata burudani ya soka la ushindani

Kwa miaka zaidi ya 10 mkoani wa Rukwa hauna timu inayoshiriki ligi kuu

Msimu uliopita, mchezo wa fainali kati ya Lipuli Fc dhidi ya Azam Fc ulipigwa uwanja wa Ilulu mkoani Lindi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
19m ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
19h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’