Dk Kashembe afafanua sakata la Miquissone

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
2 Feb 2020
Dk Kashembe afafanua sakata la Miquissone

Katibu Mkuu wa Simba, Dk Arnold Kashembe amesema tatizo la kutopata kibali kwa Luis linatokana na UD Songo kumng’ang’ania wakidai ni mchezaji wao licha ya kumaliza mkataba Januari mwaka huu

Dk Kashembe amesema kutokana na sintofahamu hiyo walilazimika kwenda FIFA kudai haki yao.

"UD Songo wanamng’ang’ania Luis wakidai bado mchezaji wao, lakini mkataba wake umeisha Januari mwanzoni, hivyo ndio maana kibali chake kimekuwa tatizo kutokana na mvutano uliopo.

"Tulipeleka malalamiko Fifa kupitia TFF ili kupata ufumbuzi wa jambo hilo ili kuweza kumtumia mchezaji akiwa kama mchezaji huru.

"Fifa wametujibu barua yetu juzi ambapo wamemtaka mchezaji mwenyewe aandike barua aamue aende upande gani kati ya UD Songo ama Simba na tayari ameshaandika barua kupitia TFF tumeiwasilisha hivyo tunasubiria majibu, nadhani ndani ya siku mbili hizi tutapata jibu”

Hivi karibuni, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Mohammed Dewji alikutana na Rais wa Fifa, Gianni Infantino na kuzungumza naye mambo mbalimbali ya kisoka huku akimkabidhi jezi ya klabu hiyo yenye wa jina lake

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’