FT : Simba 2-0 Coastal Union

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
1 Feb 2020
FT : Simba 2-0 Coastal Union

Mabingwa wa nchi Simba wameendelea kutakata uwanja wa Taifa baada ya kuichapa Coastal Union mabao 2-0 katika mchezo wa ligi hiyo uliopigwa uwanja wa Taifa

Baada ya kukosekana kwenye kikosi cha kwanza kwa michezo kadhaa, Gerson Fraga raia wa Brazil leo amemuonyesha Mkufunzi wa Simba Sven Vandenbroeck kitu alichokuwa anakikosa kwake baada ya kuifungia Simba mabao yote mawili

Fraga alifunga bao kwenye kila kipindi akianza kufunga dakika ya 7 kisha kuongeza la pili kwenye dakika ya 77

Baada ya kuruhusu bao kwa mechi tano mfululizo, leo safu ya ulinzi ya Simba pamoja na mlinda lango Beno Kakolanya wamecheza vizuri na kufanikiwa kuondoka na 'cleansheet'

Ushindi huo unazidi kuikita Simba kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kufikisha alama 47

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
11m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’