Wachezaji wa Simba Queens leo wamepatiwa semina kuhusu Usawa wa Kijinsia ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kuipokea timu ya Wanawake ya St. Pauli ya Ujerumani ambayo hivi karibuni itafanya ziara hapa nchini na Simba Queens ndio watakuwa wenyeji wao






ADVERTISE HERE