Marehemu Patrick Mutesa Mafisango ni mmoja wa viungo waliowahi kutamba katika klabu ya Simba kabla ya kukumbwa na umauti kwa ajali ya gari.
Kiungo huyo aliyekuwa akitumia jezi namba 30 alifariki kwa ajali ya gari jijini Dar es salaam, Mei 17, 2012.
Wakati wa kuagwa kwa mwili wake kwenye Viwanja vya Sigara, ChangΓ’β¬β’ombe, aliyekuwa mwenyekiti wa Simba kwa wakati huo, Ismail Aden Rage alisema uongozi wa Simba umekubaliana kutoitumia jezi namba 30 iliyokuwa ikitumiwa na kiungo huyo ikiwa ni sehemu ya kumbukumbu yake.
Lakini kinyume na ahadi hiyo, jezi hiyo amekabidhiwa mlinda mlango Emanuel Mseja na ameonekana akiivaa kwa mara ya kwanza kwenye michuano ya kombe la Mapinduzi.
Ni kama uongozi wa Simba umevunja ahadi yao ya kuuenzi mchango wa kiungo huyo aliyekuwa fundi dimbani.

ADVERTISE HERE