Manula afunguka kinachomuweka nje

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
31 Jan 2020
Manula afunguka kinachomuweka nje

Mlinda lango wa Simba Aishi Manula amesema kuwa yuko nje kwa zaidi ya wiki mbili sasa kutokana na kusumbuliwa na maumivu ya nyama za paja

Tangu afungwe mabao mawili kwenye mchezo dhidi ya Yanga Januari 04 2020, Manula hajaonekana tena kwenye kikosi cha Simba

Hata hivyo mlinda lango huyo mwenye mafanikio makubwa katika kipindi cha miaka mitano, amesema kukosekana kwake kunatokana na majeraha yanayomsumbua na sio vinginevyo

"Nimecheza mechi mfululizo kwa muda mrefu, jambo hilo limeniletea shida kwani nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu ya misuli mara kwa mara," amesema Manula

"Sasa nimeanza mazoezi mepesi, nikiwa sawa nitakuwa tayari kutoa mchango wangu kwenye timu, jambo kubwa ni timu kupata matokeo hivyo akidaka kakolanya, mimi au Salim wote tunafanya kazi moja"

Tayari baadhi ya mashabiki wameanza kumuulizia Manula baada ya Kakolanya kuruhusu bao kwenye kila mchezo katika michezo mitano ya ligi iliyopita

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’