Okwi bado mgonjwa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
•
10 Jan 2018
Okwi bado mgonjwa
Imeelezwa kuwa mshambuliaji wa Simba kinara wa upachika mabao ligi kuu ya Vodacom, Mganda Emanuel Okwi bado anaumwa.

Okwi yuko nchini Uganda tangu mwezi Novemba 2017 baada ya kuumia wakati akiitumikia timu ya Taifa ya Uganda iliyokuwa inasaka tiketi ya kufuzu kwa michuano ya kombe la dunia.

Taarifa za hivi karibuni zinabainisha kuwa Okwi anasumbuliwa na maumivu ya shingo.

Mwenyekiti wa Kamati ya usajili ya Simba Zacharia Hans Poppe amethibitisha kuhusu kuugua kwa Okwi na kupuuza tetesi zinazosambazwa kuwa Okwi amegoma kurejea Simba kwa kuwa anadai pesa zake za usajili.

“Nilivyopata habari Okwi ni kwamba alikuwa bado anauguza shingo huko kwao sasa kama hayupo ni kwa sababu ya kuumwa” amesema Hans Poppe.

“Kama kuna maneno mengine zaidi ya hayo sidhani kama ni kweli kwa sababu ni mchezaji ambaye hadai kitu chocchote alipata malipo yake yote, wachezaji wote hakuna ambao wanadai kwamba afanye kwa makusudi kwa sababu hajalipwa haki zake.”
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE →
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE →
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE →
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE →
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE →
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE →
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE →
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE →
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE →