Uzinduzi kadi za Mashabiki SImba unafanyika Dodoma leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Jan 2020
Uzinduzi kadi za Mashabiki SImba unafanyika Dodoma leo

Klabu ya Simba leo inaandika historia Makao Makuu ya nchi Mkoani Dodoma kwa kufanya tukio la uzinduzi wa kadi za mashabiki na wanachama wa klabu hiyo

Mgeni rasmi wa hafla hiyo ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Job Ndugai

Uzinduzi utafanyika asubuhi hii Tawi la Bank ya Equity Uhindini mkoani Dodoma

Mapema leo baadhi ya wafanyakazi wa Simba wakiongozwa na Mtendaji Mkuu, Senzo Mbatha walialikwa Bungeni na Spika Ndugai

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
2h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
20h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’