Simba kushirikiana na QPR kukuza soka la vijana

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Jan 2020
Simba kushirikiana na QPR kukuza soka la vijana

Balozi wa Simba jiji la London, Salim Kikeke mapema leo alikutana Mkurugenzi wa Mpira wa Miguu wa QPR, Les Ferdinand na Mkurugenzi wa Ufundi ambaye amewahi kuwa kocha wa timu hiyo, Chris Ramsey kujadili namna klabu hiyo itashirikiana na Simba katika maendeleo ya soka la vijana

Simba iko kwenye mchakato ya ujenzi wa Academy ya kukuza soka la vijana

Academy hiyo itajengwa Mo Simba Arena na itasajili watoto hadi 100

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
30m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’