Uongozi wa klabu ya Simba umetangaza kuanza kwa zoezi la uhakiki wa Wanachama, Matawi pamoja na kuandikisha matawi mapya na kutambua makundi maalum
Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Wanachama na Mashabiki, Hashim Mbaga imesema zoezi hilo litafanyika kwa awamu mbili

ADVERTISE HERE