Hatutapuuza tuhuma za Kabwili - Manara

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Jan 2020
Hatutapuuza tuhuma za Kabwili - Manara

Afisa Habari wa Simba Haji Manara amesema leo klabu hiyo itatoa msimamo wake kuhusu tuhuma za rushwa zilizotolewa na mlinda lango wa Yanga Ramadhani Kabwili

Manara amesema tuhuma hizo zina athari kubwa kwa Simba hivyo ni lazima wachukue hatua

"Moja ya jukumu langu kuu Simba licha ya kuisemea hii klabu ,lakini nnao wajibu wa kuitangaza na kulinda taswira ya Taasisi hii," amesema Manara

"Narudia tena na tena ,hili alilozungumzia mchezaji huyu tukikubali tuliache au kulipuuza litaleta athari kubwa kwetu na kwa ustawi wa Soka letu nchini"

"Bila shaka yoyote Watanzania leo mtasikia msimamo wetu juu ya tuhuma chafu dhidi ya Machampioni wa taifa hili, yapo ya kupuuza ila sio hili"

Jana akiwa katika mahojiano na East Africa Radio, Kabwili alidai kuwa msimu uliopita kuna viongozi wa Simba walimuahidi kumnunulia gari aina ya IST kama atafanya makosa ili apewe kadi ya njano katika mchezo dhidi ya JKT Tanzania

Wakati huo Kabwili alikuwa na kadi mbili za njano ambapo baada ya mchezo dhidi ya JKT Tanzania, mchezo ambao ulikuwa ukifuata ulikuwa wa watani wa jadi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
5h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
9h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’