Simba kutoa tamko tuhuma za kipa Yanga

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Jan 2020
Simba kutoa tamko tuhuma za kipa Yanga

Uongozi wa klabu ya Simba utatoa tamko kujibu tuhuma zilizotolewa na mlinda lango wa Yanga Ramadhani Kabwili kuwa msimu uliopita kuna viongozi wa Simba walimuahidi kumuhonga gari aina ya IST ili apate kadi ya tatu ya njano na hivyo akose mchezo wa pili wa ligi kuu uliozihusisha Simba na Yanga

Afisa habari wa Simba Haji Manara amesema watazungumza na wanahabari kujibu tuhuma hizo lakini pia amemtaka Kabwili aandae ushahidi kwani watachukua hatua za kinidhamu kwani kitendo alichofanya kinaichafua Simba

Katika hatua nyingine, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeiagiza kamati ya Maadili kuanza uchunguzi wa tuhuma hizo

Aidha taarifa ya TFF imesema tayari imetoa taarifa kwa vyombo vya usalama ili kuchunguza tuhuma hizo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1m ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’