Simba vs Coastal Union ni Jumamosi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Jan 2020
Simba vs Coastal Union ni Jumamosi

Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba Jumamosi ya wiki hii Februari 01, wataendelea na kampeni ya kutetea ubingwa wa ligi kuu kwa msimu wa tatu mfululizo watakapo wakaribisha Coastal Union katika mchezo ambao utapigwa uwanja wa Uhuru

Hata hivyo Simba huenda ikashuka dimbani keshokutwa Jumatano kucheza na Namungo Fc kwanza kabla ya kuikaribisha Coastal Union

Coastal Union ni moja ya timu zinazofanya vizuri kwenye ligi msimu huu, hivyo mchezo wa Jumamosi hautakuwa mwepesi

Hata hivyo baada ya ushindi katika michezo yote mitatu iliyopita, Simba itakuwa na kila sababu ya kuendeleza wimbi la ushindi kwenye uwanja wake wa nyumbani

Msimu uliopita Coastal Union ilipokea kipigo cha kihistoria kutoka kwa Simba baada ya kubugizwa mabao 8-1 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Uhuru

Bila shaka Jumamosi hii Wagosi wa kaya watakuja kwa tahadhari kubwa wakikumbuka kipigo hicho kwani wasipokuwa makini mambo yanaweza kujirudia

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
23h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’