Manara awashangaa wanaomfananisha Morrison na Chama

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 Jan 2020
Manara awashangaa wanaomfananisha Morrison na Chama

Mashabiki wa Yanga wanaonekana kupagawishwa na mchezaji mpya aliyesajiliwa na timu hiyo Bernard Morrrison ambaye anaonekana kuwa na uwezo wa kuchezea mpira

Baadhi ya mashabiki wameonekana kumpamba nyota huyo wa zamani wa Orlando Pirates huku wengine wakimfananisha na nyota wa Simba Sharaff Shiboub na Clatous Chama 'Mwamba wa Lusaka'

Hata hivyo msemaji wa Simba Haji Manara amewaambia mashabiki hao kuwa hawana mchezaji ambaye anaweza kukaribia uwezo wa nyota wa Simba, kumfananisha mchezaji huyo na Chama ni kumkosea nyota huyo wa timu ya Taifa ya Zambia

"Kwanza mchezaji mwenyewe hajawahi hata kuitwa timu yake ya Taifa ya Ghana, unawezaje kumfananisha na nahodha wa timu ya Taifa ya Zambia?," alihoji Manara

Pamoja na mjadala mkali kwenye mitandao ya kijamii, bado Simba inabaki kuwa klabu iliyosheheni wachezaji wengi wenye vipaji kwa sasa hapa Tanzania

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’