Simba kuikabili Stand United raundi ya sita kombe la FA

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 Jan 2020
Simba kuikabili Stand United raundi ya sita kombe la FA

Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba watacheza na timu ya Stand United mchezo wa raundi ya sita michuano ya kombe la FA (ASFC)

Stand United imefuzu hatua ya 16 bora baada ya kuichapa Majimaji kwa mikwaju ya penati 5-4 kufuatia matokeo ya sare ya bao 1-1

Hata hivyo Simba itasafiri mkoani Shinyanga kuwakabili 'wahuni' hao wa stendi ya mabasi katika mchezo ambao ushindi utawapeleka moja kwa moja robo fainali

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
16h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
19h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
2d ago
READ MORE β†’