Manara amtolea uvivu Shaffih Dauda

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Jan 2018
Manara amtolea uvivu Shaffih Dauda
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba Haji Manara ameonesha kuchoshwa na mwandishi wa habari wa kituo cha televisheni cha Clouds, Shaffih Dauda ambaye amemtuhumu kuiandama klabu ya Simba wakati wote.

Manara amemtuhumu Shaffih kutumia Blog yake kuishambulia klabu ya Simba.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Manara ameandika;

"Tunajua ww una ugomvi wako binafsi na baadhi ya viongozi wa Simba.lakini usitafute ugomvi na wanasimba wote.

"Sie kufungwa sio wa kwanza na hatutakuwa wa mwisho. Unatumia muda mrefu kuittack Simba na post zako za kijinga.

"kumbuka wewe upo kwenye chombo cha habari na klabu yetu inaiheshimu sana @cloudstv na mabosi wake @rugemutahaba.rg na @josephkusaga, na tunajua unajikomba kwa Yanga baada ya kutaka kukupiga kwenye issue ya Akilimali.

"Jipime bro vinginevyo utavunja heshima yako na ya clouds media pia..ila ukiona vp endelea ila jua Simba ni klabu kubwa sana"
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
7h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’