Uongozi wa klabu ya Simba umethibitisha kuwa nyota wake wapya Shiza Kichuya na Luis Miquissone hawatakuwa sehemu ya kikosi kwa kuwa vibali vyao (ITC) bado havijawasili
Taarifa iliyotolewa na Simba mapema leo imebainisha kuwa tayari klabu imewasilisha maombi kwa shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) kuomba kupatiwa kibaki cha muda ili kumtumia Miquissone
Aidha kwa upande wa Kichuya, bado klabu ya Pharco Fc ya Misri haijajibu maombi yaliyopelekwa na uongozi wa Simba kuomba kibali chake
ADVERTISE HERE