Simba kamili kuikabili Mwadui Fc kombe la FA leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 Jan 2020
Simba kamili kuikabili Mwadui Fc kombe la FA leo

Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba leo wanashuka kwenye uwanja wa Taifa kuikabili Mwadui Fc katika mchezo wa raundi ya nne michuano ya kombe la Azam (ASFC)

Afisa Habari wa Simba Haji Manara amesema maandalizi kuelekea mchezo huo yamekamilika na wana matumaini makubwa ya kupata ushindi

Amesema watawakabili Mwadui Fc kwa tahadhari kubwa, lakini ni mchezo ambao wana kila sababu ya kuondoka na ushindi

"Leo tunacheza na Mwadui fc kwenye kombe la Shirikisho la Azam,tunawaheshimu na tunajua ugumu wao lakini Simba kwa ukubwa wake haipaswi kuihofia timu yoyote Bongo"

"Na katika hili niseme wazi bila kupepesa macho,, mradi wetu wa kuingiza Washabiki wetu katika mfumo rasmi wa kuwatambua kwa kadi ili ufanikiwe ni lazma uendane na matokeo mazuri ya uwanjani"

"Kwa kifupi bila kushinda michezo kama hii ni ngumu sana kwa mradi huu kufanikiwa"

"Wanasimba wanaujua uwezo wa wachezaji wetu na Insha'Allah tutashinda jioni pale Taifa"

Mchezo huo ambao awali ulipangwa kupigwa uwanja wa Uhuru, umehamishiwa uwanja wa Taifa na utaanza saa kumi kamili jioni

Ratiba ya mechi zote

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’