Kocha Mkuu wa Dodoma FC Jamhuri Kiwhelo 'Julio' ameridhishwa na kiwango kilichoonyeshwa na kikosi chake licha ya kuchapwa bao 1-0 na Simba katika mchezo wa kirafiki jana.
Dodoma FC inashiriki ligi daraja la kwanza na Julio amepania kuhakikisha timu hiyo inapanda ligi kuu.
“Tulicheza katika mpangilio mzuri kabisa. Tulikuwa tunajua kinachofanya na tuliwapana sana Simba.
“Lakini katika soka pale unapofanya kosa na mwingine analitumia mara moja lakini kwetu ni faida kubwa kwa kuwa tulicholenga ni maandalizi kwa ajili ya mechi za Ligi Kuu Daraja la Kwanza,†alisema Julio.

ADVERTISE HERE