Kadi za Mashabiki kuzinduliwa bungeni Dodoma

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Jan 2020
Kadi za Mashabiki kuzinduliwa bungeni Dodoma

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Job Ndugai atazindua kadi za kiektroniki za mashabiki Januari 29, 2020 Bungeni jijini Dodoma

Akizungumza na waandishi wa habari mapema leo, Afisa Habari wa Simba Haji Manara amesema, gharama ya kadi hiyo ni shilingi za Tanzania 22,000

Aidha sehemu ya fedha hizo ambazo ni Tsh 14,500 itaingia moja kwa moja kwenye mfuko wa klabu ya Simba

Manara amesema baada ya Spika Ndugai kuzindua kadi hizo nae atakabidhiwa ya kwake kwakua ni mshabiki na mwanachama wa Simba pamoja na wabunge ambao wanawapenda mabingwa wa nchi.

"Januari 29 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai atazindua kadi zetu za mashabiki bungeni.

"Lengo letu tunataka ndani ya mwaka huu tuwe tumeuza kadi laki moja kwa mashabiki," alisema Manara.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’