TFF yamuonya kocha Yanga

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
22 Jan 2020
TFF yamuonya kocha Yanga

Kamati ya Uendeshaji wa Ligi (Kamati ya Saa 72) imetoa onyo kali kwa Kocha wa Yanga Luc Eymael kwa kufanya vitendo na kutoa matamshi yasiyofaa kuhusu ubaguzi wa rangi katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara dhidi ya Azam FC uliochezwa Januari 18, 2020 kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Stephen Mguto amesema kamati hiyo pia imeiomba Yanga kutoa tamko juu ya kauli hizo pamoja na vitendo vingine alivyoeleza kuwa siyo vya kiungwana.

Kuhusu malalamiko ya kocha huyo kuwa alibaguliwa, Mguto amesema alichofanyiwa na mwamuzi Hans Mabena hakikuwa ubaguzi wa rangi.

"Sisi hatukuliona kama ni ubaguzi. Maneno yake aliyosema kwamba amebaguliwa kwa sababu yeye ni mweupe, hayana maana", amsema Mguto

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
10h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’