Kichuya yuko tayari 'kukiwasha' Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
22 Jan 2020
Kichuya yuko tayari 'kukiwasha' Simba

Kiungo mshambuliaji wa Simba Shiza Kichuya yuko tayari kuanza majukumu kunako mabingwa hao wa nchi baada ya kupata leseni

Kichuya alirejeshwa Simba usajili wa dirisha dogo akitokea klabu ya Pharco Fc ya Misri

Tayari ameanza mazoezi na kikosi cha Simba, timu aliyoitumikia kwa mafanikio makubwa kwa misimu mitatu kabla ya kuuzwa mwaka jana

Huenda akaanza rasmi kuonekana dimbani kwenye mchezo wa kombe la Azam (ASFC) dhidi ya Mwadui Fc ambao utapigwa Jumamosi, Januari 25 kwenye uwanja wa Uhuru

Pacha wake waliyetua nae dirisha dogo Luis Miquissone naye alikuwa akisubiri kuwasili kwa hati yake ya uhamisho wa Kimataifa (ITC) ili aanze kuichezea Simba kwenye mechi za kimashindano

Miquissone alipata nafasi ya kuonekana kwa mara ya kwanza kwenye michuano ya kombe la Mapinduzi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’