Simba yapongeza usajili wa Samatta Aston Villa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
21 Jan 2020
Simba yapongeza usajili wa Samatta Aston Villa

Uongozi wa klabu ya Simba umempongeza mshambuliaji wake wa zamani Mbwana Samatta kwa kusajiliwa na Aston Villa inayoshiriki ligi kuu ya Uingereza

Samatta ametua Villa Park kwa mkataba wa miaka minne na nusu akitokea klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji

Hata hivyo ukizungumzia historia ya mafanikio ya mshambuliaji huyo, inaanzia klabu ya Simba

Simba ndio iliyomfungulia milango pale ilipomuuza klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo

Baadae Mazembe ilimuuza Ubelgiji klabu ya KRC Genk, Simba ikinufaika na mauzo hayo

"Hongera sana Mbwana Samatta kwa hatua kubwa ambayo umepiga kwenye maisha yako ya soka. Wanasimba tunakutakia kila la kheri kwenye timu yako mpya ya Aston Villa", imesema taarifa ya Simba

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’