Nguvu ya mashabiki ilivyomuweka Kakolanya kikosi cha kwanza Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
21 Jan 2020
Nguvu ya mashabiki ilivyomuweka Kakolanya kikosi cha kwanza Simba

Kwa sasa ni kama upepo umebadilika kwa mlinda lango namba moja wa Simba Aishi Manula ambaye kwa mechi tano sasa hajakaa langoni

Mchezo wa mwisho ambao Manula alionekana langoni ni dhidi ya Yanga, mchezo uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2

Makosa aliyofanya kwenye mchezo huo pengine ndio sababu kuu iliyomfanya asionekane langoni sasa na kumuacha Beno Kakolanya akitamba

Lakini mabadiliko hayo kwa kiasi kikubwa yalichangiwa na maoni ya mashabiki kwa benchi la ufundi

Na kwa kiasi kikubwa Beno hajawaangusha mashabiki walioonyesha imani kwake

Kwani katika mchezo minne aliyocheza, Simba imeshinda mitatu, mmoja kombe la Mapinduzi na miwili kwenye ligi

AKiruhusu wastani wa bao moja kwenye kila mchezo

Kumuimarisha Manula

Kukosekana kwake dimbani kumemfanya Manula azidi kujituma na ameendelea kufanyia kazi changamoto ambazo amekuwa akilalamikiwa nazo

Hakuna shaka siku atakayorejeshwa langoni atakuwa mlinda lango tofauti kabisa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
5h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
9h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’