Mlinda lango wa zamani wa Simba Degratius Munishi 'Dida' amesajiliwa na klabu ya Lipuli Fc
Simba ilimtema Dida mwanzoni mwa msimu baada ya mkataba wake wa mwaka mmoja kumalizika
Dida aliyecheza Simba kwa vipindi viwili tofauti, hakuwa na timu tangu mwezi Julai
Jana Lipuli Fc ilitangaza kusajili nyota wapya 10 kwenye usajili wa dirisha dogo
ADVERTISE HERE