Kwa wale wasiofahamu, kiungo Jonas Gerrard Mkude alijiunga na Simba mwaka 2010 kisha akapandishwa timu ya wakubwa 2011
Mwaka huu amefikisha miaka 10 akiwa na klabu ya Simba
Sasa ndiye mchezaji pekee aliecheza miaka mingi kwa wachezaji wa sasa Simba
Na msimu huu huenda ukawa bora zaidi kwake, kwani anaonyesha kiwango cha juu huku akidhihirisha uwezo wake wa kufunga
Tayari ametupia mabao mawili
ADVERTISE HERE